Burudani

Video ya Zigo Remix yaingia kwenye Top 10 za Trace TV

Kwa mara ya kwanza wimbo wa AY aliomshirikisha Diamond Platnumz ‘Zigo remix’ umefanikiwa kuingia kwenye top 10 ya Trace Urban.

Baada ya trace kutuma ujumbe huo, Ay amepost na kwa kusema “Tumeingia kwenye Top 10 ya chati za Afrika kwenye kituo cha runinga cha Trace. Asante kwa support yako.”

Wimbo huo kwa sasa una zaidi ya viewers milioni tatu tangu umewekwa kwenye mtandao wa Youtube mwezi Januari.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents