BurudaniVideos

Video ya tunashukuru yaiva

Ditto_face
Mwanamuziki kutoka nyumba ya Vipaji Tanzania Tht, Ditto ameshakamilisha video ya wimbo wake mpya unao kwenda kwa jina la Tunashukuru kwa wote, video ambayo anatarajia itakuwa ya kisasa zaidi na kuonyesha uwezo wake.

Amesema video hiyo anatarajia kuitoa katika wiki moja hasa baada ya kuisha kueditiwa.

Ditto

Ditto_na_gitaa

Ditto_na_nchina

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents