Burudani

Video ya ‘Mwana’ ya Alikiba kuanza kuoneshwa Ijumaa hii

Video ya Alikiba, itaanza kuoneshwa Ijumaa hii kwenye vituo mbalimbali vya runinga vilivyopewa ruhusa ya kuionesha ‘exclusively’.

Ali Kiba akiwa kwenye pozi ndani ya jukwaa la fiesta Dodoma

Alikiba amesema video hiyo imeingozwa na director wa Afrika Kusini na ilifanyika jijini Cape Town.

“Mwana Dar es salaam simaanishi ni Dar es Salaam, aim yangu ninalenga yale majiji ambayo yanatokana na vitu kama hivyo,” alikiambia kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM. “Unajua ina changamoto nyingi, kama Dar es Salaam ni mji maarufu kama Nairobi kwa vitu kama nilivyovizungumzia vina happen kwenye miji maarufu kwa sababu kunakuwa kumechangamka, kuna kila aina ya matukio. Kwahiyo maana yangu ni kuzungumzia Dar es Salaam mfano wa miji mingine vile vile nyimbo inaitwa Mwana it’s mtoto tuyezungumzia haijalishi wa kike au wa kiume. Director aliye-shoot sio mtanzania. Nimefanya naye kwa mara ya kwanza nahisi nitaendelea kufanya naye kazi.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents