Burudani

Video ya Amani ya Moyo ya Feza Kessy kuzinduliwa Ijumaa kwenye FNL ya EATV

Video ya wimbo wa Feza Kessy, Amani ya Moyo ambayo imeachiwa jana mtandaoni, inatarajiwa kuzinduliwa rasmi kwenye TV Ijumaa hii katika kipindi cha Friday Night Live cha EATV.

Katika uzinduzi huo, atakuwepo Leah Tsere (private contractor wa Feza) na Charles Guya. Kabla ya kwenda nchini Afrika Kusini kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa, Feza alimwachia Leah jukumu la kuizindua video hiyo.

IMG-20130618-WA000
Leah Tsere.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents