Burudani

Video: Wimbo mpya wa Nay wa Mitego ni wa kuweka mbali na watoto

Huenda Nay wa Mitego aka-make headlines tena baada ya kurejea kwenye uandishi wa nyimbo zake za kuponda.

11375909_383789885146244_472822464_n

Rapper huyo ametease mashairi ya wimbo wake mpya uitwao ‘Sina Muda’ ambao mashairi yake ni mazito.

“Ulizaliwa peke yako, utakufa peke yako. Eti baby I love you?, Kampende Mama ako😂 uyo peke ake ndo anajua uchungu Wako. Unapenda vya dezo dezo mwanaume utaliwa t**k.. #Sina_Muda,” anasikika Nay kwenye kipande cha video aliyoweka Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents