BurudaniWema Sepetu
Video: Wema Sepetu – In My Shoes,uzinduzi wa filamu ya Lulu Foolish Age na mengine
Show ya mwanadada Wema Sepetu imeingia sehemu 10 na inaonyesha matukio yaliyofanyika katika uzinduzi wa filamu ya Foolish Age ya msanii mwenzake wa filamu Elizabeth Michael aka Lulu na mengine.