Michezo

Video: Wachezaji wa Real Madrid Legends wampa zawadi Waziri wa Michezo

Wachezaji wakongwe wa Real Madrid Jumamosi hii walimtembelea Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr Fenella Mukangara Ofisini kwake na kumkabidhi zawadi.

Waziri Mukangara akiwa na wachezaji wa Real Madrid Legends baada ya kukabidhiwa zawaidi
Dr Mukangara akiwa na wachezaji wa Real Madrid Legends baada ya kukabidhiwa zawadi

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr Fenella Mukangara(Katikati) akizungumza na wachezaji wa Real Madrid walipomtembelea ofisini kwake Jumamosi hii
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr Fenella Mukangara(Katikati) akizungumza na wachezaji wa Real Madrid walipomtembelea ofisini kwake Jumamosi hii

Kocha wa kikosi cha Real Madrid Legends akimkabidhi Dr Mukangara zawadi
Kocha wa kikosi cha Real Madrid Legends akimkabidhi Dr Mukangara zawadi

Dr Mukangara akishukuru kwa zawadi kutoka kwa wachezaji wa Real Madrid
Dr Mukangara akishukuru kwa zawadi kutoka kwa wachezaji wa Real Madrid

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents