Burudani

Video: Umeshaitazama trailer ya Addicted? Filamu imetoka jana.. Ni shidaa!

Addicted ni filamu ya mapenzi inayomhusisha Zoe (Sharon Leal), mwanamke ambaye yupo kwenye ndoa ya uhakika. Zoe na mumewe (Boris Kodjoe) wako busy kulea watoto wao watatu wakati wakiwa na kazi nyingi pia za utafutaji maisha. Hata hivyo, hiyo haitoshi kutimiza matamanio ya Zoe. Anajikuta akijiridhisha na uraibu wake wa mapenzi kwa kulala na wanaume wengine na hivyo kujikuta katika njia hatari inayoweza kuharibu si tu ndoa yake bali pia maisha yake.

Waigizaji kwenye filamu hiyo ni:

Sharon Leal as Zoe
Boris Kodjoe as Jason
Kat Graham as Diamond
William Levy as Quentin
Tasha Smith as Marcella
Maria Howell as Nina
Tyson Beckford as Corey
Garrett Hines as Benny
Emayatzy Corinealdi as Brina
Hunter Burke as Shane

Addicted-cast-Sharon-Leal-Boris-Kodjoe-Emayatzy-Corinealdi-Tyson-Beckford-William-LevyTasha-Smith-Kat-Graham-director-Bille-Woodruff-resized

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents