Burudani

Video: Tyga amtumia tena girlfriend wake Kylie Jenner kwenye video mpya ‘Dope’d Up’

Kwa mara nyingine Rapper Tyga amemtumia tena girlfriend wake Kylie Jenner kwenye video yake mpya ‘Dope’d Up.

tyga-kylie-doped-up-video

Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Kylie kuonekana kwenye video ya Tyga baada ya kucheza kama mpenzi wake kwenye video iliyopita ‘Stimulated’.

Dope’d Up’ ni wimbo ambao utapatikana kwenye mixtape ya Tyga ‘Rawwest Nigga Alive’ iliyopangwa kutoka mwezi ujao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents