Burudani

Video Teaser: Alikiba, Chidi Benz, Chege kuonekana kwenye video ya Mr Blue ‘Pesa’ (Picha: BTS)

Mr Blue aliwahi kuzungumza na Bongo 5 mwezi April, 2014 na kusema ana deni kubwa kwa mashabiki wake ambao wanamdai video ya wimbo wake ‘Pesa’ alioutoa September, 2013. Habari njema ni kuwa Kabayser tayari ameshoot video ya wimbo huo uliokaa kwenye chart kwa kipindi kirefu.

Video ya ‘Pesa’ imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab: Next Level na kwa mujibu wa picha za Behind The Scenes, baadhi ya mastaa wa muziki kama Alikiba, Chidi Benz, Chege na aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa Julio wanaweza kuonekana kwenye kichupa hicho.

Kupitia Instagram Adam Juma ameshare teaser ya video hiyo na kuandika:
“My job has nothing to with camera’s its ART. I paint what i see”.

Mr blue-1

Katika moja ya post za picha za BTS Kabayser ameandika:
“Hakuna kitu kizuri km kuishi na watu wote vizuri ..#pesavdeo#”

Mr blue-2

Mr blue-3

Mr blue-4

Mr blue-5

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents