Wasanii kibao walijitokeza kumsapoti Professor Jay kwenye uzinduzi wa video zake mbili Jumamosi hii. Soggy Doggy,Wakazi na TID ni baadhi ya wasanii waliotumbuizam Tazama ilivyokuwa.
TID aikiimba wimbo wa Missing You wa KC & JOJO
TID na Wakazi wakitoa Freestyle
Soggy Doggy akitumbuiza