Burudani

Video: Tazama teaser ya video mpya wa Linex ‘Wema Kwa Ubaya’

“Mungu ni Wa ajabu hata ukiwa mtenda mabaya ukirudisha moyo wako nyuma anasamehe na kusahau”, hayo ni baadhi ya maneno katika wimbo mpya wa Linex uitwao ‘Wema Kwa Ubaya’ ambao anatarajia kuutoa.

Kuna dalili nyingi sana za wimbo huu wa hisia kuteka mioyo ya wengi, na ukitaka kufahamu sababu basi tazama sekunde 30 za video teaser ya video yake ambayo imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab: Next Level.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents