Burudani

Video: Tazama Shilole na Nuh Mziwanda walipokula ‘denda’ jukwaani kwenye show ya ‘Turn Down For What’

Shilole aka Shishi baby pamoja na baby wake Nuh Mziwanda usiku wa jana katika ukumbi wa Maisha Club kwenye show ya ‘Turn Down For What,’ walifanya kile walichokifanya Jay Z na Beyonce jana hiyo hiyo kwenye tuzo za MTV VMA, yaani kuoneshana upendo hadharani kwa njia ya kula denda (kiss) jukwaani.

Shilole na Nuh Mziwanda ni miongoni mwa mastaa wa bongo flevah waliokinukisha na kuwapagawisha mashabiki waliofurika kwenye ‘Turn Down For What’, iliyoandaliwa na Diva Wild Events huku mtangazaji wa Ala Za Roho ya Clouds FM, Diva The Bawse ndiye alikuwa host wa show hiyo.

IMG-20140825-WA0001

IMG-20140825-WA0000

jana

jana1

jana3

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents