Michezo

Video: Tazama Ronda Rousey anavyojifua kupambana Amanda Nunes Dec 30

Baada ya kuwa nje ya ulingo kwa muda kufuatia kipigo alichokipata kutoka kwa Holly Holm mwishoni mwa mwaka jana, Ronda Rousey anarudi tena ulingoni December 30 kupambana na Mbrazil, Amanda Nunes.

Pambano hilo la UFC litakalopigwa jijini Las Vegas linasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki mchezo huo. Tazama video hiyo kuona maandalizi ya Rousey.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents