Burudani

Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Kassim Mganga ‘Subira’

Kassim Mganga amekamilisha video ya wimbo wake ‘Subira’ aliomshirikisha Christian Bella, wimbo uliotoka mwanzoni mwa mwaka huu.

Video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma inatarajiwa kutoka Ijumaa hii.

“Muda mrefu sana nimekuwa na kigugumizi juu ya majibu ya maswali yenu kuhusu video ya wimbo wenu pendwa wa #SUBIRA…kazi haikuwa ndogo kukamilisha hii video yote kupata video ya kiwango kinachohitajika machoni mwenu wadau..kazi imekamilika shukran kwa subira yenu wadau,in shaa Allah Ijumaa hii mzigo kwa luninga yako | Directed by Adam Juma Visual lab company Next level..” aliandika Kassim kupitia Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents