Burudani
Video: Tazama alichokisema 2 Chainz baada ya kutumia mswaki aghali duniani, unauzwa tshs milioni 8.4
Unaweza kulipa $5,000 (takriban shilingi milioni 8.4) kununua mswaki tu? Bei ya mswaki huo wa Reinast ilimshangaza pia rapper huyo.