Video: Tangazo la spika maalum za Nicki Minaj: Beats By Dre Pink Pill

Nicki Minaj ameungana kampuni ya Dr. Dre, Beat Electronics kuzindua speaker ndogo zinazotumia wireless Bluetooth na zenye rangi aipendayo, Pink.

http://www.youtube.com/watch?v=DelR8L9NNYs

Akiziongelea spika hizo, Nicki alisema, “Nimezifurahia sana. Ni kitu ambacho huwa nakitumia. Ni spika ndogo ambayo naweza kusafiri nayo lakini bado sauti yake ni ya juu. Nilijua Barbz hawataipenda tu, bali wangeipenda zaidi ikiwa kwenye rangi ya pink, So, here ya go Barbz!!!! My PINK PILL!”

Spika hizo ziitwazo Pink Pill zinauzwa dola 199.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents