Rapper T.I. aliyefanya show katika jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, Oktoba 18 kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam amesimulia aliyokutana nayo.
http://youtu.be/DLAQbiqwq3o
TIP alikuwa akihojiwa kwenye kipindi cha Breakfast Club katika kituo cha redio cha Power 105.1 cha New York, Marekani. Mtazame hapo juu.