Mitindo

Video: Style 3 mwanamke anaweza kutengeneza nywele asili (By Rehema Samo)

Kwa wanawake, urembo ni kitu muhimu zaidi katika maisha yao. Stylist maarufu nchini, Rehema Samo, ameungana na mtangazaji wa kipindi cha fashion, Storm cha Clouds TV, Lillian Masuka, kuwaletea mitindo mitatu ya nywele inayoweza kutumiwa na wanawake wenye nywele asili kupendeza. Tazama somo hilo hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents