Msanii Skales kutoka Nigeria ambaye aliwahi kufanya vizuri na ngoma ya “Shake Body”, ameachia video yake mpya wimbo unaitwa “Give Me Love”, akiwa kamshirikisha sukari ya warembo Tekno Milles.