Burudani
Video: Scorpion Girls – Marioo
Kundi la Scorpion Girls linaloundwa na Baby Madaha, Isabela pamoja na Kabula, limeachia video ya wimbo mpya uitwao Marioo. Video imeongozwa na Pablo.