Habari
Video: Sauti Sol wamuimbisha Iyanya Kiswahili (Sura Yako Remix)
Wakiwa wametoka kutajwa ‘Best African Act’ wa MTV EMA, Sauti Sol wameachia remix ya wimbo wake ‘Sura Yako’ waliyomshirikisha msanii wa Nigeria, Iyanya. Utamsikia Iyanya akiimba Kiswahili kwenye sehemu ya verse yake.