Michezo

Video: Samatta alivyoiongoza KRC Genk kuiua Kortrijk kwenye ligi kuu ya Ubelgiji

Jumanne hii timu ya KRC Genk anayochezea Mbwana Samatta ilifanikiwa kupata ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Ubelgiji maarufu kama Jupiler League waliocheza na Kortrijk. Tazama magoli hayo hapa chini.

https://youtu.be/4n8JDILqkp8

Mabao hayo ya Genk yalifungwa na Schrijvers dakika ya 4, Samatta dakika ya 42 na Pozuelo dakika ya 68.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents