Burudani

Video: Rick Ross aachiwa kwa dhamana ya dola milioni 2!

Rapper Rick Ross ameachiwa kwa dhamana ya dola milioni mbili kutokana na mashtaka yanayomkabili ya kuteka na kujeruhi. Ross alipandishwa kizimbani Jumatano hii kwenye mahakama ya jimboni Georgia, Marekani kusomewa mashtaka.

Rick-Ross-Fed-Up-With-Jail-Lawyer-Argues-For-Bail-In-Court

Mahakama imekubali dhamana ya dola milioni 2 ambazo ni takriban shilingi bilioni 4 za Tanzania pamoja na masharti ya kutofanya kosa lolote lasivyo jumba lake lenye thamani ya dola bilioni tano litataifishwa.

https://youtu.be/PZJgZyDGTbo

Mahakama pia imeamrisha rapper huyo afungwe kifaa cha GPS mguuni ili kufuatilia nyendo zake zote.

https://youtu.be/MqDzVFKOcBo

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents