Burudani

Video: Rapper Desiigner aonesha ni moto kwa freestyle kwenye Hot 97

Wiki hii rapper Desiigner kutoka lebo ya GOOD Music ya Kanye West alionyesha uwezo wake wa kuchana freestyle kwenye kipindi cha Hot 97 kinachoongozwa na mtangazaji Funkmaster Flex.

Hitmaker huyo wa ‘Panda’ ameonekana akirap kwa hasira kwenye freestyle hiyo.

“12 tried to lock me up, but a ni**a beat the case. Tried to put the drugs on me, guns on me / Why speed away? / I done jumped out…Made ni**as see the Wraith,” amerap Dessigner. Tazama freestyle hiyo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents