Burudani
Video: Performance ya Nicki Minaj kwenye MTV EMA 2014
Pamoja na kuwa host, Nicki Minaj alitumbuiza ngoma tatu kwenye tuzo za MTV EMA jijini Glasgow, Scotland jana. Nicki alitumbuiza hits zake Anaconda na Super Bass pamoja na kutumbuiza kwa mara ya kwanza ngoma yake mpya Bed of Lies aliomshirikisha Skyler Grey.