Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Michezo

Video: Payet azidi kuonesha uwezo wa kupiga faulo ligi ya Ufaransa

By  | 

Dimitri Payet ameendelea kuonesha uwezo wake wa kupiga faulo wakati akiiongoza timu yake mpya ya Olympique Marseille iliyoshinda magoli 2-0 Jumatano hii dhidi ya Guingamp kwenye muendelezo wa ligi kuu ya Ufaransa.

Magoli ya Marseille yalifungwa na Bafetimbi Gomis kwenye dakika ya 26 na Payet dakika ya 76.

Wakati huo huo mchezaji wa zamani wa Manchester United, Mephis Depay alifanikiwa kuifungia timu yake ya Olympique Lyonnais goli la kwanza wakati wakishinda magoli 4-0 dhidi ya Nancy.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW