Bizzare

Video: Pastor aliyewalisha majani waumini wake, sasa awanywesha petroli

Mchungaji wa Afrika Kusini aliyewahi kuwalisha waumini wake majani, sasa anawanywesha petrol.

Pastor Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries aliwahi kuandikwa sana na vyombo vya habari duniani kwa kuwaagiza wafuasi wake kula majani kama wanyama kwa madai kuwa binadamu wanaweza kula chochote kilichotoka kwa Mungu.

Kitendo hicho kiliwaacha waumini wengi wakitapika na kuharisha. Na sasa anawataka waumini wake kunywa petroli kwa madai kuwa itageuka kuwa juice ya nanasi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents