Burudani
Video: P Zone MC ft Suma Rider – Nipo Nawe
Msanii wa muziki wa hip hop, P Zone MC ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Nipo Nawe’ akiwa amemshirikisha Suma Rider. Audio imeandaliwa na Science Music na video imeongozwa na director Japheth.
https://youtu.be/7WPRKTMoyNU