Burudani

Video: Ommy Dimpoz atease ujio wake mpya

Dalili za mvua huwa mawingu, na dalili za mzigo mpya kwa msanii huwa ni teaser. Kuna kila dalili kuwa siku za kusubiri ujio mpya wa Ommy Dimpoz zimebaki chache sababu tayari ameanza kutease kionjo cha mrithi wa ‘Tupogo’.

Dimpoz ambaye tayari ameshafanya video ya single yake mpya ‘Ndagushima’ anayotarajia kuizindua siku chache zijazo, ametease kionjo kinachoonekana kuwa ni cha ujio huo mpya.

Video ya single yake mpya inayosubiriwa kwa hamu imefanyika nchini Uingereza na kuongozwa na director kutoka Nigeria aitwaye Moe Musa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents