BurudaniDiamond Platnumz

Video: Ndio wimbo wake ujao? Diamond aonjesha kipande cha ngoma mpya

Huenda siku za hivi karibuni tukasikia wimbo mpya wa Diamond Platnumz.

Diamond ametumia kurasa zake za mitandao kijamii kuonjesha kipande cha wimbo wake mpya.

Katika wimbo huo, Diamond anaimba: Bado ananijia Ndotoni…Ila nikiamka simuoni… Bado ananijia nikilala Hakiamungu sio masihara

Tayari mashabiki wake wameonekana kuupenda hata kabla haujatoka.

Godfrey Evarist
Achia goma hilo bwana c wengine huwa tunatega sikio kusikiliza ww unatambulisha goma gani baada ya goma fulani,alaf we unaleta utani unaweka wimbo tuusikilize sekunde 21, kweli!? C tuko tayari kudownload ngoma zako hata zikiwa na 1000GB kwa kila moja,Sio kwamba tuna hela sana ila n jinsi gani tunakuunga mkono na kukubali mafanikio yako.

Julius Lj Shayo
Dogo chibu kwa mwendo huo tuzo hugawani na mtu ..!!!wataelewa tu we Fanya yako.

Shabani Msuya
Wahurumie bana weunadhan ukidondosha huo mzigo wao watatoa up tulia waache nao wajinad kidogo

Musyoka
Heshima achilia hio ngoma Diamond. tunaisubiri xama man!

Peg Katata
Ulitumia akili Sana kuchagua jina la usanii Diamond coz unang’aa kweli kweli


Mkiss Classic

Daa ni noma xn nshaipenda tyr japo ni demo 2 we nisheeeedah hakuna km ww Africa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents