Burudani
Video: Mtazame Vanessa Mdee akihost show ya #MadeOfBlack ya MTV Base
Mtazame Vanessa Mdee pamoja na watangazaji wengine wa MTV Base wakihost show ya Made of Black ambapo wasanii wakiwemo Fuse ODG walitumbuiza.
Hii ni video iliyotokana na kampeni hiyo, ‘Black Commando’ ya Fuse ODG, Olamide & Stanley