Burudani
Video: Mtazame Salama Jabir alipokuwa akihojiwa kwenye The Playlist ya Times FM
Tazama sehemu ya interview ya Salama Jabir kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumamosi iliyopita akiongea kuhusu mahusiano yake na Vanessa Mdee, video mpya za Bongo Fleva, bifu lake na Mwana FA na vitu vingine vingi. Kipindi hicho huendeshwa na Lil Ommy.