Burudani

Video: Msikilize T-Pain anapoikacha Auto-Tune, utapenda sauti yake?

Pamoja na kwamba T-Pain hakuwa msanii wa kwanza kutumia Auto-Tune kwenye nyimbo zake, kwa wengi anatambulika kama muasisi.

Yeye kwa upande wake aligundua Auto-Tune kwenye remix ya wimbo wa Jennifer Lopez.

Muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Faheem Rasheed Najm amekubali challenge ya kuimba nyimbo bila Auto-Tune. Na kwenye video hiyo juu, T-Pain anaimba nyimbo tatu live.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents