Burudani

Video mpya ya Joh Makini ‘Nusu Nusu’ kutambulishwa ‘Exclusive’ na MTV Base Ijumaa (April 24)

Joh Makini anaingia kwenye orodha ya wasanii wa Tanzania wanaoliwania soko la kimataifa. Video mpya ya rapper huyo wa Weusi iitwayo ‘Nusu Nusu’ itaoneshwa kwa mara ya kwanza (Exclusive) Ijumaa April, 24 na kituo cha kimataifa MTV Base saa kumi na mbili jioni saa za Afrika Mashariki, kupitia kipindi chao cha kutambulisha video mpya ‘Spanking New’.

Joh makini

Joh ameiambia Bongo5 kuwa video hiyo imeongozwa na Justin Campos aliyeongoza video ya Vanessa Mdee na K.O ‘Nobody But Me’ ambayo inafanya vizuri kwenye vituo vikubwa vya nje kama Trace Urban, MTV Base na SoundCity ya Nigeria.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents