Burudani

Video mpya ya Diamond ‘Ntampata Wapi’ imevuka views laki moja Youtube ndani ya saa 24

Video mpya ya Diamond platnumz ‘Ntampata wapi’ imekuwa na mapokeo mazuri kiasi cha kuwavutia watu wengi kutaka kuitazama kila wanaposikia kuwa imetoka.

mondi

Video hiyo iliyoanza kuchezwa na vitu vikubwa vya nje kikiwemo MTV Base juzi kabla haijasambazwa kwenye vituo vya hapa nyumbani jana, mpaka sasa imefanikiwa kupata views 116,967 kwenye mtandao wa Youtube, ikiwa ni ndani ya saa 24 toka ipandishwe kwenye mtandao huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents