[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=YWkAockaW1I[/youtube]
Mwanamuziki kutoka pande za Zanzibar Berry Black, amekuja na video ya wimbo wake mpya akiwa na Kunta na Sultan King. Mwanamuzki huyo track yake mpya inaitwa Nyumbani Siyo Safi.
Hebu angalia video hii uone mtu anayeitwa Kunta alivyopasuka….