Burudani
Video: Mirror – Hapo Ulipo
Wasanii wa Bongo wanaendelea kuachia video mpya kutoka kwa waongozaji wa ndani na nje ya Bongo, na zamu hii ni ya msanii anayesimamiwa na Endless Fame, Mirror ambaye ameachia video ya wimbo wake ‘Hapo Ulipo’. Video imeongozwa na Hansacana.