BurudaniVideos

Video: Mfahamu Blinky Bill, member wa kundi la Just A Band la Kenya

Hivi karibuni nilipata fursa ya kukaa chini na kuzungumza na producer na muimbaji wa kundi la Just A Band la Kenya, Blinky Bill.

13741465_852132851584713_802439786_n

Alinielezea kuhusu kundi lake na uamuzi wao wa kuanza kufanya kazi za solo huku wakiwa wameshatoa album tatu hadi sasa.

Mtazame zaidi hapo akielezea mipango yake mipya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents