Videos

Video: Mandojo na Domokaya ‘vipaji vya kuzaliwa vinapotea, wengi wanatengenezwa sana’

Wiki iliyopita tulifanya mazungumzo na wasanii wawili wa Bongo Flava waliowahi kutamba na ngoma kibao zikiwemo Nikupe Nini na Dingi, Mandojo na Domokaya.

Miongoni mwa mambo waliyozungumza ni pamoja na jinsi wasanii wenye vipaji wanavyozidi kupotea huku wengi wanaohit wakiwa wa kutengenezwa zaidi.

“Muziki umekuwa wa kibiashara sana kuliko hata natural born talents zile, wengi wanapotea wanaojuza zaidi, vipaji vya kuzaliwa, wengi wanakuwa wa kutengenezwa,” alisema Domokaya.

“Wengi wanakuwa wannabe, mtu anataka kuwa kama, anatengenezwa awe kama kiasi kwamba yule role model yaani ikifika pointi hapewi tena shavu .”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents