Burudani

Video: Mama yake Sitti Mtemvu ‘awachenjia’ waandishi wa habari

Kwa kashfa na maneno yote yanayosemwa juu ya binti yake, Sitti Mtemvu, si jambo la kuuliza mara mbili iwapo mama yake anaweza kuwa na urafiki na vyombo vya habari.

Mama mzazi wa Miss Tanzania 2014 alipata fursa ya kuwapa makavu live waandishi wa habari waliotaka kufahamu mtazamo wake kuhusiana na skendo ya kudanganya umri inayomhusu mwanae. Utamu upo hapo juu, jionee.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents