Burudani
Video: Linah aachia video mpya ‘No Stress’ aliyofanya Afrika Kusini
Linah Sanga a.k.a Ndege Mnana ameachia video ya wimbo wake mpya ‘No Stress’. Hii ni video ya pili kwa muimbaji huyo kufanywa Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, baada ya Ole Themba iliyotoka mwaka jana. Wimbo umetayarishwa na Nash Designer.