Burudani
Video: Jennifer Lopez, Iggy Azalea, Lil Wayne na Nicki Minaj wakitumbuiza kwenye tuzo za AMA 2014
Jennifer Lopez na Iggy Azalea ni miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo za ‘American Music Awards’ 2014 zilizofanyika Jumapili Nov.23.
http://youtu.be/CcTcIMgvF64
Lil Wayne alitumbuiza wimbo mpya “Let’s Start a Fire,” akiwa na Christina Milian, na Nicki Minaj aliimba ‘Bed of Lies’ kwenye tuzo za AMA 2014.
http://youtu.be/knw5mqCNglQ
Iggy pia aliibuka mshindi wa kipengele cha Favorite Artist — Rap/Hip-Hop, Favorite Album — Rap/Hip-Hop ‘The New Classic’.