Burudani

Video: Kanye West: Ndoa na Kim imenifanya kuwa binadamu bora

Kanye West amedai kuwa ndoa yake na Kim Kardashian imembadilisha kwa kiasi kikubwa.

Akihojiwa kwenye The Ellen Show, Kanye alidai kuwa hivi sasa amejifunza kujizuia kukaa kimya na kwamba amekuwa ‘binadamu bora’

Akijibu swali la kama yeye na Kim wanataka kupata mtoto mwingine, Kanye alidai kuwa wanajaribu na kwamba idadi ya watoto atakayo Kim ndiyo hiyo pia atakayoichagua.

Mtazame hapo juu.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents