Burudani

Video: Justin Bieber ajirekodi video akiwaomba radhi mashabiki wake kwa hisia kwa tabia yake ya utukutu

Justin Bieber ameamua kujisafisha kwa mashabiki wake kwa kuomba radhi kutokana na tabia yake ya kiburi na utukutu ambayo imekuwa ikimpelekea kuvunja sheria mara kwa mara.

Staa huyo wa Canada mwenye miaka 20, amejirekodi video akiongea kwa hisia na kwa majuto huku akikiri kuwa anajutia matendo yake ya utukutu ambazo kwa kiasi kikubwa zimechafua jina lake.

“Nilitaka kujirekodi video kwasababu nilitaka kuelezea jinsi ninavyojisikia hivi sasa” alisema kwenye video aliyoipost kwenye ukurasa wake wa Facebook Jumatano wiki hii.

Aliendelea:

“It’s been a minute since I’ve been in a public appearance, and I didn’t want to come off arrogant or conceited or basically how I’ve been acting the past year and a half.

I’m not who I was pretending to be. Why I say I was “pretending” is often we pretend to be something we’re not as a cover up of what we’re truly feeling inside. And there were a lot of feelings going on in there.

Just being young and growing up in this business is hard. Just growing up in general is hard.”

“I just felt awkward up there. I felt like people were judging me, and I really want people to know how much I care, how much I care about people, and how I’m not that person to say, “I don’t give a f***,” you know? I’m not that kid.

I’m a person who genuinely cares. And although what’s happened in the past has happened, I just want to make the best impression on people and be kind and loving and gentle and soft.
And although people can call me a “softy,” that’s how my mom raised me.”

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents