Burudani
Video: Jike Shupa – Nuh Mziwanda Ft Ali Kiba
Msanii wa muziki, Nuh Mziwanda ameachia video mpya ya wimbo ‘Jike Shupa’, akiwa amemshirikisha Ali Kiba, Producer wa wimbo ni Mr T Touch na video imeandaliwa na Kwetu Studio chini ya director Msafiri.