Videos
Video: James Franco & Seth Rogen – Bound 3 (Parody)
Waigizaji maarufu wa Marekani, James Franco & Seth Rogen wameamua kutengeneza video ya utani Bound 3 kuigiliza video ya Kanye West, Bound 2 aliyofanya na mchumba wake Kim Kardashian. James ameigiza kama Kanye na Seth kama Kim.