Videos
Video: Jambo Squad “Tukunyema” vocal session at Noizmekah Production Studios, Arusha
Hii ni video teaser ya Mamongoo aka Jambo Squad wakiwa kwenye studio za NoizMekah na producer Defxtro wakirecord ngoma yao ijao “Tukunyema”.
Ngoma hiyo itaachiwa rasmi hewani mwisho wa mwezi huu. Wanatarajia kushoot video kwanza kabla ya official Audio Release kwa hisani ya VMG Africa na Hoodpixx watayarishaj wa Film & Music Videos.