Burudani

Video: Ja Rule alivyomtandika shabiki kofi baada ya kurushiwa kopo la bia

Rapper Ja Rule alijikuta anasimamisha show yake iliyofanyika huko Atlantic City, Marekani baada ya shabiki aliyerusha kopo la bia kumgonga kichwani wakati akifanya show. Baada ya kufanyiwa hivyo alianza kumtafuta mtu aliyefanya hivyo.

ja-rule-wallpaper-2

Rapper huyo alitangaza dau la dola 1000 kwa mtu ambaye angemuonyesha shabiki aliyerusha kopo hilo. Mtandao wa TMZ ulipata clip ya tukio zima. Itazame hapo chini.

https://youtu.be/HdcigsvE-Nw

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents