Burudani

Video: J Martins – Kwaroro

J.Martins ameachia video mpya ya single yake iitwayo ‘Kwaroro’, ambayo audio yake ilitoka July mwaka huu. Katika video hii isiyo na rangi (black & white) kwa sehemu kubwa kasoro mwishoni, pia wameonekana mapacha Peter na Paul Okoye wa P Square. Itazame hapo chini.

https://youtu.be/TlWkGOQEzmI

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents